Kuanza Njia ya huduma

Mnakaribishwa kupakua hapa, katika lugha yoyote iliyooneshwa, matoleo saba ya vitabu ya hivi karibuni katika mlolongo wetu mkuu wa kozi. Vitabu vinapatikana kwa yeyote anayetaka kushiriki katika mazungumzo ya kiulimwengu yanayofanyika katika jumuiya za Kibahá’í kila mahali kuhusu uboreshaji wa ulimwengu.

Wote wanakaribishwa kuvisoma vitabu na kujadiliana maudhui yao pamoja na marafiki wachache. Mnakaribishwa kuwasiliana na jumuiya ya Kibahá’í iliyo karibu yenu, kwa kutumia orodha hii, kama mnapenda kuvisoma katika kikundi rasmi zaidi mtandaoni au kuendelea na vitabu vingine vilivyomo katika mlolongo wetu mkuu wa kozi. Kama hakuna uhakika wa mtu wa kuwasiliana naye, mnaweza kuandika kwa sfruhidist@ruhi.org kwa ajili ya kupata msaada.

Tunaomba kwamba kiwe ni kitabu au sehemu yake yoyote isipakuliwe katika tovuti nyingine katika mtandao au majukwaa ya hifadhi ya mawingu au kuwa zitatumika kwa makusudi ya kibiashara au kutumika kwa njia yoyote kinyume na matakwa ya zana zenyewe au kutumika kwa njia ambayo ni kinyume cha kusudi lao.

Kitabu cha 1
Mawazo Juu ya Maisha ya Roho

Kuhusu kitabu hiki

Kitabu cha 2
Uinikaji kwa Kuhudumu

Kuhusu kitabu hiki

Kitabu cha 3
Kufundisha Madarasa ya Watoto, Daraja la 1

Kuhusu kitabu hiki