Viungo vya msingi

Maisha ya Bahá’u’lláh

Kuangalia maelezo ya kipicha ya maisha ya Bahá’u’lláh, ambaye mafundisho yake hutoa hamasa kwa ajili ya kazi ya Taasisi ya Ruhi, halikadhalika na idadi isiyohesabika ya watu binafsi duniani wanaoendeleza uboreshaji wa ulimwengu.

Fundación para la Aplicación y Enseñanza de la Ciencia (FUNDAEC)

Jifunze kuhusu programu na nyenzo za FUNDAEC, Shirika lisilo la Kiserikali huko Colombia lililoundwa kwa ajili ya muundo mbadala wa kijamii na kuchunguza maswali yahusianayo na uhusiano wa sayansi, teknolojia, na sera ya elimu, pamoja na matatizo yao ya maendeleo.

Taasisi kwa ajili ya Mafunzo katika Ustawi wa Ulimwengu (ISGP)

Kuchunguza kazi ya ISGP, ambayo ujumbe wake ni kutoa jukwaa kwa ajili ya kuchunguza dhana na kuchambua programu za kivitendo ambazo zinawasilisha uzalishaji wa maarifa na maendeleo ya mifumo sahihi ya kijamii ili kuathiri ustahimilivu wa mabadiliko kwa ajili ya uboreshaji wa jamii.

Kuendeleza Mazungumzo juu ya Sayansi, Dini, na Maendeleo

Pata jarida lililoandaliwa na Dr. Farzam Arbab—maana fizikia na mwanzilishi wa FUNDAEC—ambayo huchunguza jinsi sayansi na dini, vyanzo viwili vya maarifa na vitendo, vinavyoendeleza mchakato wa maendeleo.

DL Publicaciones (DLP)

Jifunze kuhusu majina ya vitabu yanayosambazwa DLP, Shirika Lisilo la Kiserikali linalojihusisha na uchapishaji zana za kielimu kwa ajili ya makundi mbalimbali na makusudi ambayo yanaimarisha uwezo wa kiroho na kisayansi wa watu binafsi, jumuiya na asasi zao.

Comunidad Bahá’í de Colombia

Jifunze kuhusu shughuli za jumuiya ya Kibahá’í ya Colombia.