Nyimbo

Tunayo furaha kuweka hapa rekodi ya baadhi ya nyimbo zinazopatikana kwenye zana za madarasa ya watoto Daraja la 1 na 2. Tafadhali  jisikie huru kuzipakua na kuzitumia katika shughuli zanu za kielimu. Kwa kuongezea, inaruhusiwa kutafsiri na kurekodi nyimbo hizi katika lugha mbalimbali, kwa minajili kwamba hakuna rekodi itakayouzwa au kutumika kwa ajili ya makusudi ya kibiashara katika njia yoyote.

Ukurasa huu utasasishwa kutoka muda hadi muda, kadri nyimbo za nyongeza zitakapokamilika; pengine unaweza kuangalia ukurasa mara kwa mara kwa ajili ya jumbe mpya zilizowekwa.

Inaonesha iliyoongezwa hivi karibuni or iliyoboreshwa.

Nyimbo katika